32 Kwa maana mtumwa wako alijifanya mdhamini wa huyu kijana kwa baba yangu, nikisema, Nisipomrudisha kwako, nitakuwa na hatia kwa baba yangu sikuzote.
Kusoma sura kamili Mwa. 44
Mtazamo Mwa. 44:32 katika mazingira