Mwa. 44:4 SUV

4 Na walipotoka mjini, wala hawajaendelea sana, Yusufu akamwambia yule msimamizi wa nyumba yake, Ondoka, uwafuate watu hawa, nawe utakapowapata, waambie, Kwa nini mmelipa mabaya kwa mema?

Kusoma sura kamili Mwa. 44

Mtazamo Mwa. 44:4 katika mazingira