Mwa. 44:8 SUV

8 Hasha! Watumwa wako wasifanye hivi; tazama, hizo fedha mlizoziona kinywani mwa magunia yetu, tumekuletea tena kutoka nchi ya Kanaani. Tuwezeje sisi kuiba nyumbani mwa bwana wako fedha au dhahabu?

Kusoma sura kamili Mwa. 44

Mtazamo Mwa. 44:8 katika mazingira