Mwa. 45:13 SUV

13 Nanyi mtamwarifu baba yangu habari za fahari yangu yote katika Misri, na za vyote mlivyoviona; mkafanye haraka kumleta huku baba yangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:13 katika mazingira