Mwa. 45:16 SUV

16 Habari ikasikika nyumbani mwa Farao kusema, Ndugu zake Yusufu wamekuja. Ikawa vema machoni pa Farao, na machoni pa watumwa wake.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:16 katika mazingira