22 Akawapa kila mtu nguo za kubadili; lakini Benyamini, alimpa fedha mia tatu na mavazi matano ya kubadili.
Kusoma sura kamili Mwa. 45
Mtazamo Mwa. 45:22 katika mazingira