Mwa. 45:9 SUV

9 Fanyeni haraka, mmwendee baba yangu, mkamwambie, Hivi ndivyo asemavyo mwanao Yusufu, Mungu ameniweka kuwa bwana katika Misri yote, basi unishukie, usikawie.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:9 katika mazingira