Mwa. 46:15 SUV

15 Hao ndio wana wa Lea, aliomzalia Yakobo katika Padan-aramu, na Dina, binti yake. Nafsi zote za wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu.

Kusoma sura kamili Mwa. 46

Mtazamo Mwa. 46:15 katika mazingira