20 Walizaliwa kwake Yusufu katika nchi ya Misri, Manase na Efraimu, aliomzalia Asenathi binti Potifera, kuhani wa Oni.
Kusoma sura kamili Mwa. 46
Mtazamo Mwa. 46:20 katika mazingira