26 Nafsi zote waliokuja pamoja na Yakobo mpaka Misri waliotoka viunoni mwake, bila wake za wanawe Yakobo, nafsi zote walikuwa sitini na sita.
Kusoma sura kamili Mwa. 46
Mtazamo Mwa. 46:26 katika mazingira