Mwa. 46:31 SUV

31 Yusufu akawaambia ndugu zake na watu wa nyumbani mwa baba yake, Nitapanda mimi nimpashe Farao habari; nitamwambia, Ndugu zangu, na watu wa nyumbani mwa baba yangu, waliokuwa katika nchi ya Kanaani, wamenijia.

Kusoma sura kamili Mwa. 46

Mtazamo Mwa. 46:31 katika mazingira