Mwa. 47:11 SUV

11 Yusufu akawakalisha babaye na nduguze, na kuwapa milki katika nchi ya Misri, katika mahali pazuri pa nchi, katika nchi ya Ramesesi, kama Farao alivyoamuru.

Kusoma sura kamili Mwa. 47

Mtazamo Mwa. 47:11 katika mazingira