13 Wala hapakuwa na chakula katika nchi yote, kwa kuwa njaa ilikuwa nzito sana, hata nchi ya Misri, na nchi ya Kanaani zikataabika, kwa sababu ya njaa.
Kusoma sura kamili Mwa. 47
Mtazamo Mwa. 47:13 katika mazingira