Mwa. 47:22 SUV

22 Ila nchi ya makuhani hakuinunua; maana makuhani walikuwa na posho yao kutoka kwa Farao, wakala posho yao waliyopewa na Farao. Kwa hiyo hawakuuza nchi yao.

Kusoma sura kamili Mwa. 47

Mtazamo Mwa. 47:22 katika mazingira