Mwa. 47:26 SUV

26 Yusufu akaifanya sheria kwa habari ya nchi ya Misri hata leo, ya kwamba sehemu ya tano iwe mali ya Farao. Ila nchi ya makuhani tu haikuwa mali ya Farao.

Kusoma sura kamili Mwa. 47

Mtazamo Mwa. 47:26 katika mazingira