Mwa. 47:6 SUV

6 nchi ya Misri iko mbele yako, palipo pema pa nchi uwakalishe baba yako na ndugu zako; na wakae katika nchi ya Gosheni. Tena ukijua ya kuwa wako watu hodari miongoni mwao, uwaweke wawe wakuu wa wanyama wangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 47

Mtazamo Mwa. 47:6 katika mazingira