Mwa. 47:9 SUV

9 Yakobo akamjibu Farao, Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni mia na thelathini; siku za miaka ya maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikilia siku za miaka ya maisha ya baba zangu katika siku za kusafiri kwao.

Kusoma sura kamili Mwa. 47

Mtazamo Mwa. 47:9 katika mazingira