Mwa. 48:1 SUV

1 Ikawa, baada ya mambo hayo, Yusufu akaambiwa, Tazama, baba yako hawezi; akawatwaa wanawe wawili, Manase na Efraimu, pamoja naye.

Kusoma sura kamili Mwa. 48

Mtazamo Mwa. 48:1 katika mazingira