10 Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
Kusoma sura kamili Mwa. 48
Mtazamo Mwa. 48:10 katika mazingira