Mwa. 48:4 SUV

4 akaniambia, Mimi hapa, nitakuongezea uzao wako, na kukuzidisha, nami nitakufanya uwe kundi la mataifa; kisha nitawapa wazao wako nchi hii baada yako, iwe milki ya milele.

Kusoma sura kamili Mwa. 48

Mtazamo Mwa. 48:4 katika mazingira