Mwa. 49:30 SUV

30 katika ile pango iliyomo shambani mwa Makpela, iliyo mbele ya Mamre katika nchi ya Kanaani, aliyoinunua Ibrahimu pamoja na shamba kwa Efroni Mhiti, pawe milki yake ya kuzikia.

Kusoma sura kamili Mwa. 49

Mtazamo Mwa. 49:30 katika mazingira