Mwa. 49:33 SUV

33 Basi Yakobo alipokwisha kuwaagiza wanawe, akakunja miguu yake kitandani, akafa, akakusanywa pamoja na watu wake.

Kusoma sura kamili Mwa. 49

Mtazamo Mwa. 49:33 katika mazingira