Mwa. 49:9 SUV

9 Yuda ni mwana-simba,Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda;Aliinama akajilaza kama simba,Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha?

Kusoma sura kamili Mwa. 49

Mtazamo Mwa. 49:9 katika mazingira