Mwa. 50:11 SUV

11 Nao waliokaa katika nchi, wale Wakanaani, walipoyaona matanga katika sakafu ya Atadi, wakasema, Matanga haya ya Wamisri ni makuu kwa hiyo mahali pale paliitwa Abel-Misri, iliyo ng’ambo ya Yordani.

Kusoma sura kamili Mwa. 50

Mtazamo Mwa. 50:11 katika mazingira