Mwa. 50:13 SUV

13 kwa kuwa wanawe wakamchukuwa mpaka nchi ya Kanaani, nao wakamzika katika pango ya shamba la Makpela, iliyo mbele ya Mamre, aliyoinunua Ibrahimu pamoja na shamba kwa Efroni Mhiti, pawe milki yake pa kuzikia.

Kusoma sura kamili Mwa. 50

Mtazamo Mwa. 50:13 katika mazingira