15 Ndugu zake Yusufu walipoona ya kwamba baba yao amekufa, walisema, Labda Yusufu atatuchukia; naye atatulipa maovu yetu tuliyomtenda.
Kusoma sura kamili Mwa. 50
Mtazamo Mwa. 50:15 katika mazingira