Mwa. 50:2 SUV

2 Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga, kwamba wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.

Kusoma sura kamili Mwa. 50

Mtazamo Mwa. 50:2 katika mazingira