Mwa. 50:23 SUV

23 Yusufu akaona wana wa Efraimu hata kizazi cha tatu; na wana wa Makiri, mwana wa Manase, walizaliwa magotini mwa Yusufu.

Kusoma sura kamili Mwa. 50

Mtazamo Mwa. 50:23 katika mazingira