Mwa. 50:7 SUV

7 Basi Yusufu akaenda amzike babaye, na watumwa wote wa Farao wakaenda pamoja naye, wazee wa nyumbani mwake, na wazee wote wa nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 50

Mtazamo Mwa. 50:7 katika mazingira