Mwa. 6:13 SUV

13 Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia dhuluma, basi nitawaharibu pamoja na dunia.

Kusoma sura kamili Mwa. 6

Mtazamo Mwa. 6:13 katika mazingira