Mwa. 7:1 SUV

1 BWANA akamwambia Nuhu, Ingia wewe na jamaa yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki.

Kusoma sura kamili Mwa. 7

Mtazamo Mwa. 7:1 katika mazingira