Mwa. 7:11 SUV

11 Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.

Kusoma sura kamili Mwa. 7

Mtazamo Mwa. 7:11 katika mazingira