Mwa. 7:21 SUV

21 Wakafa wote wenye mwili waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;

Kusoma sura kamili Mwa. 7

Mtazamo Mwa. 7:21 katika mazingira