Mwa. 7:23 SUV

23 Kila kilicho hai juu ya uso wa nchi kikafutiliwa mbali tangu mwanadamu hata mnyama wa kufugwa, na kitambaacho, na ndege wa angani; vilifutiliwa mbali katika nchi, akabaki Nuhu tu, na hao walio pamoja naye katika safina.

Kusoma sura kamili Mwa. 7

Mtazamo Mwa. 7:23 katika mazingira