1 Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;
Kusoma sura kamili Mwa. 8
Mtazamo Mwa. 8:1 katika mazingira