Mwa. 8:11 SUV

11 njiwa akamjia jioni, na tazama, alikuwa na jani bichi la mzeituni kinywani mwake, ambalo amelitunda, basi Nuhu akajua ya kwamba maji yamepunguka juu ya nchi.

Kusoma sura kamili Mwa. 8

Mtazamo Mwa. 8:11 katika mazingira