Mwa. 8:20 SUV

20 Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.

Kusoma sura kamili Mwa. 8

Mtazamo Mwa. 8:20 katika mazingira