Mwa. 9:15 SUV

15 nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.

Kusoma sura kamili Mwa. 9

Mtazamo Mwa. 9:15 katika mazingira