Mwa. 9:23 SUV

23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

Kusoma sura kamili Mwa. 9

Mtazamo Mwa. 9:23 katika mazingira