Neh. 8:12 SUV

12 Na watu wote wakaenda zao kula na kunywa, na kuwapelekea watu sehemu, na kufanya furaha nyingi, kwa sababu walikuwa wameyafahamu maneno yale waliyohubiriwa.

Kusoma sura kamili Neh. 8

Mtazamo Neh. 8:12 katika mazingira