Omb. 1:10 SUV

10 Huyo mtesi amenyosha mkono wakeJuu ya matamaniko yake yote;Maana ameona ya kuwa makafiri wameingiaNdani ya patakatifu pake;Ambao kwa habari zao wewe uliamuruWasiingie katika kusanyiko lako.

Kusoma sura kamili Omb. 1

Mtazamo Omb. 1:10 katika mazingira