18 BWANA ndiye mwenye haki;Maana nimeiasi amri yake;Sikieni, nawasihi, enyi watu wote,Mkayatazame majonzi yangu;Wasichana wangu na wavulana wanguWamechukuliwa mateka.
Kusoma sura kamili Omb. 1
Mtazamo Omb. 1:18 katika mazingira