Omb. 1:20 SUV

20 Angalia, Ee BWANA; maana mimi ni katika dhiki;Mtima wangu umetaabika;Moyo wangu umegeuka ndani yangu;Maana nimeasi vibaya sana;Huko nje upanga hufisha watu;Nyumbani mna kama mauti.

Kusoma sura kamili Omb. 1

Mtazamo Omb. 1:20 katika mazingira