7 Siku za mateso na misiba yake,Yerusalemu huyakumbuka matamaniko yake yoteYaliyokuwa tangu siku za kale;Hapo watu wake walipoanguka mikononi mwa mtesi,Wala hakuna hata mmoja wa kumsaidia;Hao watesi wake walimwona,Wakafanya sabato zake kuwa mzaha.
Kusoma sura kamili Omb. 1
Mtazamo Omb. 1:7 katika mazingira