8 BWANA amekusudia kuuharibuUkuta wa binti Sayuni;Ameinyosha hiyo kamba,Hakuuzuia mkono wake usiangamize;Bali amefanya boma na ukuta kuomboleza;Zote pamoja hudhoofika.
Kusoma sura kamili Omb. 2
Mtazamo Omb. 2:8 katika mazingira