Wim. 1:6 SUV

6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi,Kwa sababu jua limeniunguza.Wana wa mamangu walinikasirikia,Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu;Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.

Kusoma sura kamili Wim. 1

Mtazamo Wim. 1:6 katika mazingira