Wim. 1:7 SUV

7 Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu,Ni wapi utakapolisha kundi lako,Ni wapi utakapolilaza adhuhuri.Kwa nini niwe kama aliyefungiwa kidoto,Karibu na makundi ya wenzako?

Kusoma sura kamili Wim. 1

Mtazamo Wim. 1:7 katika mazingira