Wim. 4:8 SUV

8 Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni,Pamoja nami toka Lebanoni.Shuka kutoka kilele cha Amana,Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni;Kutoka mapangoni mwa simba,Kutoka milimani mwa chui.

Kusoma sura kamili Wim. 4

Mtazamo Wim. 4:8 katika mazingira