Wim. 4:9 SUV

9 Umenishangaza moyo, umbu langu,Bibi arusi, umenishangaza moyo,Kwa mtupo mmoja wa macho yako,Kwa mkufu mmoja wa shingo yako.

Kusoma sura kamili Wim. 4

Mtazamo Wim. 4:9 katika mazingira