Wim. 5:2 SUV

2 Nalikuwa nimelala, lakini moyo wangu u macho,Sikiliza! Mpendwa wangu anabisha!Nifungulie, umbu langu, mpenzi wangu,Hua wangu, mkamilifu wangu,Kwa maana kichwa changu kimelowa umande,Nywele zangu zina manyunyu ya usiku.

Kusoma sura kamili Wim. 5

Mtazamo Wim. 5:2 katika mazingira